FAUSTINE MWOYA November 14, 2025

Count with Condition(COUNTIF) – Hesabu Seli Zenye Sharti Excel

Jifunze jinsi ya kuhesabu seli zinazokidhi sharti fulani katika Excel. Hii ni muhimu unapohitaji kupata idadi ya seli zinazokidhi vigezo vya data zako.

FORMULA NA MAELEZO YA KIUNDA:

=COUNTIF(A1:A10, ">50")


COUNTIF ni formula ya Excel inayohesabu seli zinazokidhi sharti maalum.

A1:A10 ni safu au seli unazotaka kuhesabu.

">50" ni sharti. Hapa, inahesabu seli zote zenye nambari kubwa kuliko 50.

Unaweza kutumia masharti tofauti kama:

"<100" – seli zenye nambari chini ya 100

"=Yes" – seli zenye maandiko “Yes”

Rahisi kukumbuka: “COUNTIF = Hesabu kwa Sharti”.

LINKS NA RESSOURCES:

Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com

Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509
Share this post
Previous Next

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Chat na Faulink