FAUSTINE MWOYA November 14, 2025

AVERAGE() – Jifunze Kupata Wastani Excel

ifunze jinsi ya kupata wastani wa nambari katika Excel kwa urahisi. Formula rahisi inayokusaidia kuchambua data zako haraka.

FORMULA NA MAELEZO YA KIUNDA:

=AVERAGE(A1:A10)


AVERAGE ni formula ya Excel inayopata wastani (average) wa seli zilizo na nambari.

A1:A10 ni safu au seli unazotaka kupata wastani wake; badilisha kwa safu yako.

Formula hii haitahesabu seli zilizo tupu au zisizo na nambari.

Rahisi kukumbuka: “AVERAGE = Pata Wastani wa Nambari”.

Unaweza kutumia kwa safu moja au safu nyingi, mfano: =AVERAGE(B2:F20) ili kupata wastani wa seli zote zilizo na nambari.

LINKS NA RESSOURCES:

Tazama tutorials zaidi za Excel: https://www.faulink.com

Download mifumo ya Excel bure: https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

Msaada wa WhatsApp: https://wa.me/255693118509
Share this post
Previous Next

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Chat na Faulink