Mfumo wa Matokeo — Mtumiaji Mmoja
Kwa mwalimu au msimamizi mmoja anayehitaji kusajili wanafunzi, kuingiza alama na kuandaa ripoti bila mchakato mrefu.
Unakufaa ikiwa:
Mwalimu binafsi, kituo kidogo au shule yenye msimamizi mmoja wa matokeo.
Uwezo muhimu
- Wanafunzi, madarasa na masomo
- Uingizaji na uhifadhi wa alama
- Uchambuzi wa matokeo na ripoti
- Akaunti moja ya usimamizi