Testimonials

Ushuhuda wa Wateja wa Faulink IT

Hawa ni baadhi ya wateja wanaotumia mifumo na huduma zetu. Tunajenga solutions zinazoleta matokeo ya kweli kwa biashara na taasisi.

Support ya haraka Systems fast Mobile-friendly
Ubora wa huduma
Tunazingatia performance & usalama
Solutions za biashara
Maduka, shule, dashboards, websites
Support ya karibu
Tupo tayari kukusaidia muda wowote
Asha M.
Mmiliki wa Duka, Dar es Salaam
★★★★★
Rating

“Faulink IT wamenitengenezea mfumo wa duka unaonisaidia kujua stock, mauzo na faida kwa urahisi. Mfumo ni fast na support yao iko vizuri sana.”

Shop/Stock System Verified client
Mwalimu Kelvin
Mwalimu wa Taaluma, Morogoro
★★★★★
Rating

“Tumetumia mfumo wa kuingiza matokeo na kutengeneza report cards. Kazi imekuwa rahisi, errors zimepungua na ripoti zinatoka kwa haraka.”

School Results System Verified client
John P.
Entrepreneur, Mwanza
★★★★★
Rating

“Website yangu imeonekana professional na imeanza kupata wateja. SEO basics walinisaidia na sasa naonekana vizuri kwenye Google.”

Business Website + SEO Verified client
Neema S.
Manager, Arusha
★★★★★
Rating

“Nilihitaji system ya kufuatilia mapato na matumizi. Faulink walinielewa haraka na walileta solution safi sana, responsive na rahisi kutumia.”

Income & Expense System Verified client

Unataka system/website ya kitaalamu kama hawa?

Wasiliana nasi upate ushauri wa haraka, bei, na roadmap ya project yako. Tunafanya solutions zinazo-scale na zinazoonekana professional.