FAUSTINE MWOYA December 5, 2025

Jiunge na Mfumo wa Matokeo Mtandaoni

Mfumo wa Matokeo (Online Student Result Management System) ni suluhisho rahisi kwa shule, madarasa au taasisi za elimu kusimamia, kuingiza na kuangalia matokeo ya wanafunzi kwa haraka na kwa usahihi. Mfumo huu unaondoa matumizi ya karatasi na kurahisisha utunzaji wa data ya matokeo.

Kupitia mfumo huu unaweza:

Kuingiza matokeo ya kila mwanafunzi

Kutengeneza grade na remarks moja kwa moja

Kufuatilia progression ya mwanafunzi

Kuangalia matokeo kwa darasa, shule au mwaka

Kutengeneza ripoti kwa wazazi au walimu

Kutoa matokeo mtandaoni kwa wanafunzi kwa usalama

Mfumo ni rahisi kutumia, unapatikana kwenye simu au kompyuta, na unahifadhi data zako salama mtandaoni.

👉 Jiunge na Mfumo wa Matokeo hapa:
https://faulink.com/matokeo_index.php

Kwa msaada wa haraka, tumia WhatsApp:
📲 https://wa.me/255693118509
Share this post
Previous Next

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Chat na Faulink