โœ… Copied

All Posts

834 posts
Jinsi ya Kutumia Excel Formula =UPPER(E2) Kubadilisha Maneno Yako Kuwa Herufi Kubwa
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Unataka maneno yako yote kwenye Excel yaonekane kwa HERUFI KUBWA? Formula rahisi =UPPER(E2) inaweza kufanya kazi hiyo kwa haraka na kwa usahihi. ๐Ÿ“˜ Formula =UPPER(E2) ...

jinsi ya kubadilisha namba kuwa asilimia kwenye excel | hatua kwa tatua
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Mara nyingi unahitaji kubadilisha namba kuwa asilimia au kufanya mahesabu ya uwiano. Formula rahisi =O2/100 inaweza kusaidia. ๐Ÿ“˜ Maana ya Formula =O2/100 Inachuku...

Kutumia NOT Kuangalia Sharti Lisilo Sahihi Katika Excel
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Wakati mwingine unataka kuangalia kama sharti halitimizwi, Excel inatoa formula NOT. Kwa mfano: =NOT(H2+I2=50) ๐Ÿ“˜ Maana ya Formula H2+I2=50 Hii inatathmini kam...

Kutumia EVEN Kuongeza Value Kila Wakati Kwenye Nambari Shufwa (Even Number)
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Katika Excel, wakati mwingine unataka kuhakikisha nambari inakuwa even (shufwa). Formula hii inafanya kazi hiyo: =EVEN(P2) ๐Ÿ“˜ Maana ya Formula EVEN(P2) Inachuk...

jinsi Kutumia ODD Kuongeza Value Kila Wakati Kwenye Nambari Isiyo Shufwa (Odd Number)
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Katika Excel, wakati mwingine unataka kuhakikisha nambari inakuwa odd (isiyo shufwa). Formula hii inafanya kazi hiyo: =ODD(P2) ๐Ÿ“˜ Maana ya Formula ODD(P2) Inac...

jinsi ya Kutumia RANK na COUNTIF Kuamua Nafasi ya Data (Rank) Kutoka Ndogo Kwenda Kubwa
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Wakati mwingine unataka kupanga data yako kutoka ndogo kwenda kubwa, na pia kushughulikia ties (sawa) ili kila value ipewe rank sahihi. Hii formula inafanya kazi hiyo: ...

Jinsi ya Kutumia IF na EXACT Kuangalia Ulinganifu wa Text Kwenye Excel
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Mara nyingi unataka kuangalia kama maadili mawili ya cells ni sawa kabisa, ikiwa ni pamoja na capital letters. Excel inatoa formula rahisi ya kufanya hivyo: =IF(EXACT(...

Jinsi ya Kutumia CONCATENATE Kuunganisha Neno Moja Moja Kwenye Excel
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Wakati mwingine unataka kuunganishwa kwa maadili ya cells kadhaa ili kuunda neno moja au sentensi. Excel inatoa formula rahisi ya kufanya hivyo: =CONCATENATE(B2," ",C...

Kutumia ROUND Kutengeneza Namba Nzima Kwenye Excel | jinsi ya kuondoa decimali kwenye excel
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Wakati mwingine unataka kuzungusha (round) namba yoyote kwenye Excel kuwa namba kamili. Formula rahisi ya kufanya hivyo ni: =ROUND(U2,0) ๐Ÿ“˜ Maana ya Formula Hii U...

Kutumia ROUND na AVERAGE Kutengeneza Average Sahihi Kwenye Excel
November 16, 2025 FAUSTINE MWOYA

Wakati unafanya hesabu za Excel, mara nyingi unataka kupata average ya range ya cells na kuipanga hadi decimal chache ili iwe rahisi kusoma. Formula hii inakusaidia kufan...

Chat WhatsApp