Jinsi ya Ku-Link style.css Kwenye Website Yako (Mwongozo Kamili kwa Beginners)
Unapotengeneza website, moja ya vitu muhimu sana ni kuhakikisha muonekano wake ni mzuri, unaovutia na unaonekana professional. Hapa ndipo CSS inapokuja kusaidia. Lakini ili CSS ifanye kazi, lazima ujue jinsi ya ku-link file la style.css kwenye HTML yako kwa usahihi. Watu wengi...
Read Full Post