Jinsi ya Kufanya Website Yako ya PHP Ionekane Professional Bila Kuonyesha .php au .html kwenye URL (Mwongozo Kamili wa 2026)
Kama una website ya PHP, kuna uwezekano mkubwa links zako zinaonekana hivi: https://www.faulink.com/login.php au: https://www.faulink.com/about.html Hii ni kawaida kwa websites nyingi za zamani, lakini kwa mwaka 2026 websites nyingi professional hutumia URLs safi kama: https...
Read Full Post