FAUSTINE MWOYA November 16, 2025 2 min read

Jifunze Kuhusu Error Codes Katika Excel – Sababu na Suluhisho

Katika Excel, unapofanya mahesabu au kuingiza data, unaweza kuona Error Codes. Kila error ina maana yake na inahitaji ufahamu wa haraka ili kurekebisha hesabu. Huu ni mwongozo wa haraka wa kuelewa na kusuluhisha error codes.

📘 Aina Kuu za Error Codes na Maelezo
Error Code Sababu Suluhisho / Formula
#DIV/0! Unajaribu kugawanya namba kwa sifuri (0) =IF(B2=0,"",A2/B2)
#N/A Lookup function haipati matokeo =IFERROR(VLOOKUP(...),"Not Found")
#VALUE! Formula ina type tofauti (text vs number) Hakikisha data ni number au text inayofaa
#REF! Cell reference imeondolewa Rekebisha reference au use =IFERROR(...)
#NAME? Function au reference haijafahamika Angalia spelling ya formula
#NUM! Hesabu haina maana (mfano: sqrt(-1)) Angalia data na formulas zako
#NULL! Invalid intersection ya cells Hakikisha syntax sahihi
📌 Mfano wa Kutumia IFERROR
=IFERROR(A2/B2, "Error: Check inputs")

Hii inahakikisha error haionekani kwenye sheet, bali inaonyesha ujumbe wa kirafiki.

Inafaa sana kwa reports za kitaalamu.

🔹 Vidokezo vya Kurekebisha Error Codes

Angalia type ya data – text, numbers, dates.

Tumia IFERROR – ili ku-display ujumbe wa kirafiki.

Tumia ISERROR au ISNA – kwa logics maalum za error handling.

Kagua formulas – hakikisha references hazijabadilika.

🔗 Links Za Kujifunza Zaidi

🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/

📘 Excel Mifumo – Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Faulink Support