Jinsi ya Kuondoa .php na .html kwenye URL kwa Kutumia .htaccess — Mwongozo wa Beginners
Kwenye website nyingi za PHP, links huonekana hivi: https://faulink.com/mauzologin.php au: https://faulink.com/about.html Lakini website professional hutumia links safi kama hizi: https://faulink.com/mauzologin https://faulink.com/about Katika somo hili tutajifunza step ...
Read Full Post