Huduma nafuu, bora na za kuaminika kwa biashara, shule na taasisi. Chagua mpango wa Mwezi au Mwaka kisha lipia kupitia WhatsApp.
π³ Mwezi: TZS 8,000
π Mwaka: TZS 80,000
Maelezo Zaidi Lipia Sasaπ³ Mwezi: TZS 1,000
π Mwaka: TZS 10,000
Maelezo Zaidi Lipia Sasaπ΅ TZS 250,000 (Mara Moja)
Maelezo Zaidi Lipia SasaWateja kutoka mikoa mbalimbali wamefurahia huduma zetu.
"Faulink imenisaidia kupata mfumo wa mauzo uliorahisisha biashara yangu. Huduma ni bora na bei ni nzuri."
"Tumetumia mfumo wa matokeo kwa shule yetu β rahisi kutumia, salama na inaokoa muda mwingi!"
"Tuliagiza website kamili yenye database, na matokeo ni ya kitaalamu sana. Asanteni Faulink!"
"Mfumo wa vikoba umetusaidia sana kwenye kikundi chetu cha akiba. Rahisi kufuatilia michango na mikopo."
"Huduma za Faulink ni za haraka na zenye uaminifu. Support ni nzuri hata baada ya kazi kumalizika."
"Tulipata mfumo wa uhasibu unaofanya kazi kwa ufanisi. Tunapendekeza Faulink kwa biashara ndogo na kubwa."
"Blog tuliyopewa ina muonekano wa kitaalamu na inafanya kazi vizuri kwenye simu. Hongereni sana!"
"Mfumo wa matokeo umeokoa muda wa walimu na wazazi wanapata taarifa kwa haraka."
"Faulink wametengeneza website yetu ya kampuni kwa ubora wa hali ya juu. Tunawashukuru sana!"
Majibu mafupi ili kusaidia wateja kuchagua haraka.