π Mfumo wa Mauzo wa Kidigitali β Faulink.com
Sasa ni wakati wa kujiunga na mfumo wa kisasa wa Mauzo wa Faulink, unaokuwezesha kusimamia bidhaa, mauzo, matumizi, na ripoti zako kwa urahisi kupitia simu au kompyuta.
π Faida za Mfumo wa Mauzo kutoka Faulink.com
1. β Ingiza Bidhaa
Sajili bidhaa mpya kwa jina, bei, idadi na gharama ya ununuzi.
Badilisha au futa bidhaa wakati wowote.
Onyesha bidhaa zilizobaki kwa kila aina.
2. ποΈ Fanya Mauzo (Sell Products)
Rekodi mauzo ya kila siku kwa bidhaa yoyote.
Hesabu kiasi kilichouzwa na kinachobaki kiotomatiki.
Hakikisha bidhaa hazihifadhiwi kwa muda mrefu bila kuuzwa.
3. π§Ύ Pata Risiti za Mauzo (Receipt)
Chapisha au tuma risiti za malipo kwa wateja.
Angalia historia ya mauzo ya siku yoyote.
4. π Ripoti Kamili za Biashara
Mauzo ya kila siku, kila mwezi, au mwaka.
Faida halisi baada ya kutoa gharama.
Ripoti za matumizi ya fedha na bidhaa zilizopungua.
5. π₯ Akaunti za Watumiaji (Users)
Akaunti ya Boss inapata ripoti zote na kufuatilia matumizi.
Akaunti ya Mfanyakazi inaruhusiwa kuuza na kuingiza bidhaa tu.
Usalama na udhibiti wa taarifa umeimarishwa.
π Mfumo Unasaidia Nani?
Wafanyabiashara wa maduka ya jumla au rejareja
Wamiliki wa stationery, pharmacy, hardware, saloon, kilimo, nk
Vituo vya kuuza mafuta, vifaa vya shule, huduma za intaneti
Vyama vya ushirika na vikundi vya wajasiriamali
βοΈ Vipengele Muhimu vya Mfumo
β Tumia kwenye simu au kompyuta
β Hakuna haja ya app β fungua kwa browser
β Taarifa zako huhifadhiwa kwa usalama (backup na database)
β Mfumo rahisi kutumia kwa yeyote hata bila ujuzi wa IT
β Chapisha ripoti zako kwa Excel au PDF
π₯ Mafunzo kwa Video (YouTube)
Tunatoa mafunzo ya kutumia mfumo kupitia channel yetu ya YouTube:
πΊ Tazama Video Hapa β Faulink Channel
π Wasiliana Nasi Leo
π Tembelea: https://faulink.com
π Simu: +255 693 118 509
π¬ WhatsApp: Bonyeza hapa kuwasiliana
π§ Email: faulinktz@gmail.com
π Jiunge Sasa na Mfumo wa Mauzo kutoka Faulink.com
Hakuna tena kuandika kwenye daftari wala kupoteza hesabu zako.
Fanya biashara yako iwe ya kisasa, yenye faida na inayowavutia wateja.
π Tembelea sasa: https://faulink.com
Faulink β Mfumo wa Mauzo wa Kuaminika kwa Wafanyabiashara wa Kitanzania.