Jinsi ya Kujiunga na Mfumo wa Bajeti Mtandaoni
Mfumo huu umeandaliwa kwa watumiaji wanaotaka:
Kutunza rekodi za matumizi (Matumizi)
Kuandika mapato au mshahara
Kupata jumla ya matumizi
Kujua kiasi kilichobaki
Kuangalia matumizi makubwa zaidi
Kupanga bajeti kwa miezi tofauti
Kujiunga ni rahisi—unachohitaji ni ku jaza taarifa zako na kuanza kutumia mfumo mara moja.
👉 Jiunge na Mfumo wa Bajeti hapa:
https://faulink.com/budget_index.php
Mfumo unapatikana mtandaoni saa 24, hivyo unaweza kuuendesha kwenye simu au kompyuta popote ulipo.
Ikiwa unahitaji msaada wa haraka, tumia WhatsApp:
📲 https://wa.me/255693118509