Kubadilisha PDF kuwa Word ni jambo muhimu sana hasa kwa walimu, wanafunzi na waandishi wa maudhui ya kielimu. Mara nyingi tunapokea syllabus, notes au vitabu vya masomo katika mfumo wa PDF, lakini tunahitaji kuvihariri au kuvirekebisha.

Moja ya njia rahisi na salama ni kutumia Adobe Acrobat – Create PDF tool. Huduma hii inakuwezesha kubadilisha PDF kuwa Word kwa hatua chache sana bila kupoteza maandishi muhimu, vichwa vya habari au mpangilio wa kurasa.

🔹 Faida za Kutumia Adobe Acrobat PDF to Word

Huhifadhi maandishi (text) kwa usahihi

Jedwali (tables) hubaki vizuri

Rahisi kutumia hata kwa beginner

Inafaa kwa syllabus, notes na documents rasmi

Baada ya kubadilisha PDF kuwa Word, unaweza kuendelea ku-edit, ku-print au kugawana faili kwa urahisi zaidi.

🔗 Muhimu Links

Adobe Acrobat – PDF to Word
https://acrobat.adobe.com/createpdf

Faulink (Elimu & Mifumo ya Shule)
https://faulink.com