Artificial Intelligence (AI) ni teknolojia inayowezesha kompyuta kufanya maamuzi na kujifunza kama binadamu. AI hutumia data nyingi, algorithms, na machine learning kutambua mifumo (patterns) kwenye taarifa.

Mfano wa AI ni ChatGPT, Google Assistant, na facial recognition. Teknolojia hii hutumika kwenye benki, hospitali, magari ya kujiendesha, na hata kwenye elimu.

Mfano:
Benki hutumia AI kutambua miamala ya ulaghai (fraud detection).