Je, Teknolojia Itaua Ajira au Itaongeza?
Teknolojia itachukua baadhi ya ajira lakini pia itazalisha ajira mpya. Kazi za AI, data, na cybersecurity zinaongezeka kila siku.
Mfano:
Badala ya teller, benki sasa zinahitaji system administrators.
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.