jifunza kutengeneza app kwa Kuunganisha Manifest + Service Worker Ndani ya Website
Baada ya kuunda manifest.json na sw.js, sasa tunaviunganisha kwenye website yako ili Faulink.com iwe Progressive Web App (PWA) inayoweza ku-install kwenye simu au kompyuta.
Hatua hii ni rahisi—unahitaji tu kuongeza mistari michache kwenye sehemu ya
ya website. ðŸ› ï¸ 1. Unganisha manifest.json kwenye
Fungua faili la header la website yako (mf. header.php au index.php) kisha ongeza: Hii inaiambia browser mahali pa kupata manifest ya app. ðŸ› ï¸ 2. Ongeza meta tags muhimu za mobile app Hizi ni za kuifanya app ionekane kama app halisi ya Android/iOS: Unaweza kubadilisha rangi ya theme-color kulingana na brand ya Faulink. ðŸ› ï¸ 3. Ongeza Icons kwa Apple (iOS) iOS hai-read icons kutoka manifest, hivyo ongeza: ðŸ› ï¸ 4. Register Service Worker (sw.js) Hii ndiyo inaiwezesha website kuwa offline, kuwa na cache, na kuwa installable. Weka chini ya
au mwisho wa :
âœ”ï¸ Matokeo ya Hatua Hii
Ukimaliza hatua hii:
✅ Manifest itakuwa active
✅ Service Worker itasajiliwa
✅ Website yako itakuwa installable
✅ Android na PC zitaonyesha “Install Appâ€
✅ App yako itaanza kufanya caching na offline mode
📠Muundo sahihi wa mafaili (directory structure)
Ili kufanya kazi vizuri, hakikisha muundo ni huu:
/faulink.com
│── index.php
│── manifest.json
│── sw.js
│── /icons
│ ├── faulink-192.png
│ └── faulink-512.png
🔗 Links Za Kujifunza Zaidi
🌠Faulink Official Website
https://www.faulink.com/
📘 Jifunze Web Design & Programming
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
📲 Piga / WhatsApp kwa msaada
https://wa.me/255693118509
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.