FAUSTINE MWOYA November 16, 2025 1 min read

jinsi Kutumia ODD Kuongeza Value Kila Wakati Kwenye Nambari Isiyo Shufwa (Odd Number)

Katika Excel, wakati mwingine unataka kuhakikisha nambari inakuwa odd (isiyo shufwa). Formula hii inafanya kazi hiyo:

=ODD(P2)

📘 Maana ya Formula

ODD(P2)

Inachukua value ya P2 na kurudisha nambari isiyo shufwa inayofanana au kubwa zaidi.

Hata kama P2 ni negative, formula inarudisha odd inayokaribiana na value hiyo.

🔹 Mfano:
P2 Matokeo ya =ODD(P2)
4 5
7 7
-3 -3
-6 -5

Hii inasaidia pale unapohitaji odd numbers tu kwa formulas, coding ya items, au grading system.

🔗 Links Za Kujifunza Zaidi

🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/

📘 Excel Mifumo – Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Faulink Support