FAUSTINE MWOYA November 16, 2025 1 min read

jinsi ya Kutumia RANK na COUNTIF Kuamua Nafasi ya Data (Rank) Kutoka Ndogo Kwenda Kubwa

Wakati mwingine unataka kupanga data yako kutoka ndogo kwenda kubwa, na pia kushughulikia ties (sawa) ili kila value ipewe rank sahihi. Hii formula inafanya kazi hiyo:

=RANK(O2,O$2:O$30,1)+COUNTIF(O$2:O2,O2)-1

📘 Maana ya Formula

RANK(O2, O$2:O$30, 1)

Inarudisha nafasi ya O2 kwenye range O2:O30.

Parameter 1 inamaanisha kutoka ndogo kwenda kubwa (ascending order).

COUNTIF(O$2:O2, O2)-1

Hii inashughulikia ties (duplicate values).

Inahesabu ni mara ngapi value ya O2 imeonekana mpaka sasa na kupunguza 1 ili kuongeza rank sahihi kwa duplicates.

🎯 Mfano Rahisi
O2 O3 O4 O5 Rank Formula Result
50 30 50 40 3
30 1
50 4
40 2

Formula inahakikisha values sawa hazirudishi rank moja, bali zinapewa rank tofauti inavyotokea.

🔗 Links Za Kujifunza Zaidi

🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/

📘 Excel Mifumo – Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php

📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509

🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?

Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.

Share this post

Comments

0
No comments yet. Be the first to comment.

Continue Reading

Subscribe

Get new updates

Jiunge upokee posts mpya, tutorials, na updates za mifumo moja kwa moja kwenye email yako.

Faulink Support