Jinsi ya Kutumia CONCATENATE Kuunganisha Neno Moja Moja Kwenye Excel
Wakati mwingine unataka kuunganishwa kwa maadili ya cells kadhaa ili kuunda neno moja au sentensi. Excel inatoa formula rahisi ya kufanya hivyo:
=CONCATENATE(B2," ",C2," ",D2)
📘 Maana ya Formula Hii
B2, C2, D2
Hizi ni cells unazotaka kuunganisha.
" "
Hapa tumetumia nafasi mbili kati ya kila value ili iwe readable. Unaweza kutumia " " au " - " kulingana na mtindo wako.
CONCATENATE
Inachukua maadili ya cells tofauti na kuunganisha kuwa neno moja au sentensi.
🎯 Mfano Rahisi
B2 C2 D2 Result (=CONCATENATE(B2," ",C2," ",D2))
John Doe 25 John Doe 25
Excel Formulas Guide Excel Formulas Guide
🔗 Links Za Kujifunza Zaidi
🌐 Faulink Official Website:
https://www.faulink.com/
📘 Excel Mifumo – Ready to Use:
https://www.faulink.com/excel_mifumo.php
📲 Piga / WhatsApp kwa msaada wa haraka:
https://wa.me/255693118509
🚀 Unahitaji mfumo au website ya biashara?
Chagua huduma hapa chini kisha mteja bofya moja kwa moja kwenda kwenye ukurasa wa huduma au kuwasiliana nasi kwa WhatsApp.